Wape wateja njia rahisi ya kununua kutoka kwako.
Weka bidhaa. Share link. Pokea oda. Ni easy saana.
Ni bure, na inachukua chini ya dakika moja.
Duka Kwenye Bio
Weka picha, bei na mabango ya matangazo. Mteja akifungua link ndani ya Instagram au TikTok, huona bidhaa zako zote mara moja.
Oda Moja kwa Moja
Mteja akichagua bidhaa, oda hufika moja kwa moja WhatsApp ikiwa tayari imekamilika pamoja na anwani yake ya kuletewa mzigo.
Lipa Namba Yako
Tumia Till au namba yako ya simu. Malipo yote huingia moja kwa moja kwako bila mtu wa kati kuishika pesa yako.
Tayari kuanza kuuza mtandaoni?
Jiunge na wauzaji wengine wanaotumia Nunua Kwangu kukuza biashara zao.